House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







#KODI 350K MALIPO MIEZI X6 PIA KUNA PESA YA TAHADHARI AMBAYO UNALIPA SAMBAMBA NA KODI AMBAYO NI 350K
APARTMENT KWENYE FENCI ZIPO (3)
LOCATION UBUNGO EXTERNAL MAJI CHUMVI BAJAJI 500 KUTOKEA UBUNGO EXSTENO PIA KUNA DALADALA ZA MOJA KWA MOJA KWENDA KARIAKOO
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO
TYRIES GPYSAMU
DILISHA ALUMINIAMU
UMEME MITA YAKO
PARKING SPACE KUBWA
HETER MAJI MOTO
FULL AIC
FULL SECURITY
NYUMBA IKO KWENYE FENCE
BALABALA RAFIKI KWA GARI ZOTE
KODI SH.350,000 MALIPO MIEZI X6
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA SH.20000
N.B NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 30.10.2025 KUONA NA KULIPIA RUKSA BOSS
0679 997610
0747997630
Msigwa