House for sale at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BARABARA YA LAMI SAFI KABISA
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Maji yana flow
Full air condition
Garden safi
Luku yako
Tiles
Gypsum
Heater ya maji moto maji baridi
Mazingila mazuri sana
Cctv camera
Electronic fence
Usalama wa kutosha kabisa
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=ร6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
----------
Contact
๐#0693__673010
๐#0676_218580 (WhatsApp)
#Dalali_big_kimara ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐