House for sale at Mawasiliano, Morogoro


🔰Inapangishwa, MAWASILIANO
📍 120,000/= ×6
_______
___
• Jiko Kubwa Lenye Makbati
• Chumba Cha Kulala Sio Kikubwa sana
• Choo Cha Kushare 3 na kipo ndani kwa ndani yani hutoki nje
* MAJI yanatoka Ndani
* Slide Windows
#Ipo MAWASILIANO mkabala na njia ya mwendokasi mpya inayoelekea Stand ya mkoa ya zamani
#Note: Inakuwa wazi tarehe 10/06/2024, kuona na kulipia ruksa
______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 120,000/=
#Kupelekwa kuona nyumba 20,000/=
____________
0753-172-516