House for sale at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba zinauzwa,
Ipo Tabata shule.
Zipo tatu kwenye kiwanja kimoja,
Mbele bado kuna eneo kubwa.
Nyumba ya kwanza ina vyumba viwili
Kimoja ni master na sebule.
Nyumba kubwa ina vyumba vinne na sebule.
Uwani kuna chumba na sebule.
Gari inafika mpaka mlangoni.
Bei mil 60
Maongezi kidogo yapo.
Mawasiliano 👇
➡️☎️0679 077638