House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam


(150,000 × 6) 𝗞𝗜𝗕𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗦𝗛𝗨𝗟𝗘
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #150𝖪
Chumba cha kulala
Sebule
Jiko zuri lenye makabati
Choo ndani
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 6
Umbali Dakika 8 Kwa mguu toka Morogoro Road
Ndani ya fence parking IPO
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300