House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
NDANI YA FENCE, USALAMA ๐ฏ%
MASTER BEDROOM ''SINGLE''
KUBWA SAANA YA KIBABE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
๐ฅ *KODI YAKE 150K X4//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA ELFU HAMSINI, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA.*
#MASTER BEDROOM ''SINGLE''
#UPANA "Ft15" UREFU "Ft16"
#TILES 
#GIPSUM
#ALMINIUM 
#UMEME WAKE SUBMETER 
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
๐๏ธAPARTMENT HIZI ZIPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
#UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI  TSH 700/=
BODA  TSH 1000/=
๐ก๐๏ธ๐น๐ฟKARIBUNI SAANA.



















