Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
NDANI YA FENCE, USALAMA 💯%
MASTER BEDROOM ''SINGLE''
KUBWA SAANA YA KIBABE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 *KODI YAKE 150K X4//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA ELFU HAMSINI, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA.*
#MASTER BEDROOM ''SINGLE''
#UPANA "Ft15" UREFU "Ft16"
#TILES 
#GIPSUM
#ALMINIUM 
#UMEME WAKE SUBMETER 
#METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
🏘️APARTMENT HIZI ZIPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
#UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI  TSH 700/=
BODA  TSH 1000/=
🏡🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA.



















