House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT 🔥🔥 BEI 230,000/= X 6
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 230,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
📌 HAKUNA JIKO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#ELECTRIC FENCE
BEI NI 230,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA APARTMENT HII NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp