House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐๐๐ฅ๐จ๐ง๐ 300,000/= ร 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 300,000/= ร 6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA BARUTI UPANDE KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI YA KUELEKEA CHUO KIKUU NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
๐ฆ๐ฒ๐ฟ๐๐ถ๐ฐ๐ฒ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ ๐ป๐ถ ๐๐ต๐ถ๐น๐ถ๐ป๐ด๐ถ 15000
๐ ๐ฎ๐น๐ถ๐ฝ๐ผ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐น๐ฎ๐น๐ถ ๐ป๐ถ ๐บ๐๐ฒ๐๐ถ ๐บ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ
๐๐ผ๐ป๐๐ฎ๐ฐ๐:
0754344786
0652472014