Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗨𝗧𝗜 300,000/= × 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 300,000/= × 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA BARUTI UPANDE KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI YA KUELEKEA CHUO KIKUU NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0754344786
0652472014