House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA
#INAKUWA WAZI TAREHE 30/10/2025 INAKUWA WAZI NI YA JUU
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA CHA KULALA
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#CHOO KIZURI CHA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION #KIMARA_KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 20 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747