House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT NZURI SANAAA INAPANGISHWA 🌱
-ZIMETIZAMA LAMI
-FURNITURE ZINABAKI/UKITAKA
📍MAHALI- MLIMWA C YA MWSHO WA FENCE
🚪 MUUNDO
MASTER + SEBULE +JIKO
PAKALI SANAAA
_________________________
HUDUMA
—SECURITY FENCE
—HEATER BAFUNI
~~Maji yapo muda wote
~~Umeme upo unajitegemea
~~Parking space kubwa
~~iko ndani ya fence
~~usalama wa kutosha
______________________________
💰MALIPO
~Bei ni 350,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miez 6+
______________________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJA😎
☎️ MAWASILIANO
+255627262930 call/ wtsp
🏃♂️Gharama za kwenda site ni 10,000#