House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA NAIFAULISHA MTEJA ATAHAMA TAREHE 30/08/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA
BEI NI 200,000/= X 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
โโ HAKUNA JIKO โโ
#KIBALAZA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#PAVING
BEI NI 200,000/= X 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
๐ฅ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
MTEJA ANAHAMA TAREHE 30/08/2024
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030