House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment for Rent za Kisasa nzuri
Location Ubungo Riverside Kibangu Usafiri ni Bajaji na Boda Ukishuka Unapiga teke Gate
Kodi 300000ร6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
=========
Chumba na Sebule Kubwa
Jiko Kubwa
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Block
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Not Caution Money Mwazi 1
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565