Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 350,000,000

HOUSE FOR SALE. .
.
Eneo : Madale.
Square Meters : 1150.
.
.
Bei : Million 350/Maongezi.
Documents : Hati Miliki.
.
.
HOUSE STRUCTURE.
.
Living Room.
Dining Room.
Kitchen+Store.
.
3 Master Bedroom's.
.
.
SERVICES.
.
.
Maji.
Garden.
Umeme.
Public Toilet.
Paving Blocks.
Electric Fance.
Parking Space.
.
.
NOTE. .
.
.
Hii ni Nyumba ya kisasa kabisa yenye viwango vya juu kabisa.
.
Nyumba ipo Madale moja Kati ya Maeneo yaliyo jengwa kisasa hapa Dar es salaam.
.
Inauzwa Million 350 kulingana na Ubora wa nyumba na ramani yake kiujenzi.
.
Nyumba bado Mpya kabisa haija wahi kukaliwa na Mtu yoyote.
.
Eneo la nyumba bado Ni kubwa Kama wewe ni Mpenzi wa bwawa la kuogelea unaweza kujenga pembeni hapo.
.
Ipo Madale Maarufu Kama Madale Sheraton upande wa Kulia ukiwa unatoka Tegeta.
.
Ukiwa unatoka Goba ni upande wa kushoto.
.
Mji wa Madale bado ni mji Mpya na Nyumba za Maeneo Jirani zimejengwa kisasa.
.
Kuna utulivu wa Hali ya juu Sana kwenye mji huo.
.
Nyumba imejengwa kisasa ukitazama kwenye picha inajieleze.
.
Ukumbi wa Wageni mkubwa Kabisa yaani Living Room.
.
Master Bedroom ni kubwa Sana.
.
Ukitoka nje ya geti nyumba imezungukwa na Ujirani mwema.
.
Kutoka Tegeta New Bagamoyo Road mpaka kwenye Nyumba ni mwendo wa dk 15 Sawa na kilometer 6 hivi.
.
Huduma za kijamii zipo jirani kabisa mfano kutoka kwenye nyumba mpaka main road ni meter 500.
.
Kama umevutiwa na Nyumba hii wasiliana na Bwana JENGA tuna zungumza na Mmiliki yaani Mwenye Nyumba.
.
CONTACT.
.
.
☎️Call 0718 211501.
📲WhatsApp 0620 325185.
📧 Email jengarealestate@gmail.com.
.
.
JENGA REAL ESTATE,live a Happy life.

PASHA REAL ESTATE
pasharealestate_tz
PASHA REAL ESTATE

Similar items by location

3 Bedrooms House for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

🏡 NYUMBA INAUZWA – MADALE MIVUMONI 🏡🛏️ Ina vyumba 3 (1 Master Bedroom)🛋️ Sebule kubwa🍽️ Jiko + ...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

PLOT NZURI SANA INAUZWAMADALE FLAMINGOPLOT SIZE 812 SQMSURVEYED PLOT ,HATI BADONEIGHBORHOO NI MAGHOF...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Mtaa mzuri sana mwendo wa maghorofa tu Ukubwa-sqm 840 Kimepimwa bado Ha...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Mtaa mzuri sana mwendo wa maghorofa tu Ukubwa-sqm 812 Kimepimwa bado Ha...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Mtaa mzuri sana mwendo wa maghorofa tu Ukubwa-sqm 812 Kimepimwa bado Ha...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Mtaa mzuri sana mwendo wa maghorofa tu Ukubwa-sqm 812 Kimepimwa bado Ha...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 75,000,000

KIWANJA KINAUZWA MADALE FRAMINGOKM1 KUTOKEA LAMIUKUBWA SQM 812 BEI MILIONI7507165018150756679283

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 16,000,000

PLOT KALI SANA HILI BOSS WANGU SIZE SQM 420.BEI MILLION 16.■■■■■■■■■PANA FAAKWA UWEKEZAJI AU MAKAZI ...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Kipo barabara kubwa ya mtaa na mtaa ni mzuri sana Ukubwa-sqm 650Umiliki...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 40,000,000

40 MILION MAZUNGUMZO YAPOKiiwanja kizuri sana kinauzwa:Kipo barabara kubwa ya mtaa na mtaa ni mzuri ...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Kipo barabara kubwa ya mtaa na mtaa ni mzuri sana Ukubwa-sqm 650Umiliki...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 40,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Kipo barabara kubwa ya mtaa na mtaa ni mzuri sana km unavyoona Ukubwa-s...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Kipo barabara kubwa ya mtaa na mtaa ni mzuri sana Ukubwa-sqm 650Huduma ...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Kipo barabara kubwa ya mtaa na mtaa ni mzuri sana Ukubwa-sqm 650Umiliki...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 40,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Kipo barabara kubwa ya mtaa na mtaa ni mzuri sana km unavyoona Ukubwa-s...

2 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA 📍 ZIPO Madale, ndani ya fensi moja (apartments 2)🏡 Muundo: • 🛏️ Vy...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 40,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Kipo barabara kubwa ya mtaa na mtaa ni mzuri sana km unavyoona Ukubwa-s...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 50,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Kipo barabara kubwa ya mtaa na mtaa mzuri sana wa kishua Ukubwa-sqm 759...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 800,000

🏡 APARTMENT FOR RENT – MADALE📍 Location: Madale, near the main road🏠 Property Features • 2 Bedroo...

Plots for sale at Madale, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 48,000,000

LIPIA KWA AWAMU HAPA,MRADI MPYA, VIMEPIMWA TAYARIViwanja Vinauzwa; madale Kutoka lami mita800Vipo vi...