Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 350,000,000

HOUSE FOR SALE. .
.
Eneo : Madale.
Square Meters : 1150.
.
.
Bei : Million 350/Maongezi.
Documents : Hati Miliki.
.
.
HOUSE STRUCTURE.
.
Living Room.
Dining Room.
Kitchen+Store.
.
3 Master Bedroom's.
.
.
SERVICES.
.
.
Maji.
Garden.
Umeme.
Public Toilet.
Paving Blocks.
Electric Fance.
Parking Space.
.
.
NOTE. .
.
.
Hii ni Nyumba ya kisasa kabisa yenye viwango vya juu kabisa.
.
Nyumba ipo Madale moja Kati ya Maeneo yaliyo jengwa kisasa hapa Dar es salaam.
.
Inauzwa Million 350 kulingana na Ubora wa nyumba na ramani yake kiujenzi.
.
Nyumba bado Mpya kabisa haija wahi kukaliwa na Mtu yoyote.
.
Eneo la nyumba bado Ni kubwa Kama wewe ni Mpenzi wa bwawa la kuogelea unaweza kujenga pembeni hapo.
.
Ipo Madale Maarufu Kama Madale Sheraton upande wa Kulia ukiwa unatoka Tegeta.
.
Ukiwa unatoka Goba ni upande wa kushoto.
.
Mji wa Madale bado ni mji Mpya na Nyumba za Maeneo Jirani zimejengwa kisasa.
.
Kuna utulivu wa Hali ya juu Sana kwenye mji huo.
.
Nyumba imejengwa kisasa ukitazama kwenye picha inajieleze.
.
Ukumbi wa Wageni mkubwa Kabisa yaani Living Room.
.
Master Bedroom ni kubwa Sana.
.
Ukitoka nje ya geti nyumba imezungukwa na Ujirani mwema.
.
Kutoka Tegeta New Bagamoyo Road mpaka kwenye Nyumba ni mwendo wa dk 15 Sawa na kilometer 6 hivi.
.
Huduma za kijamii zipo jirani kabisa mfano kutoka kwenye nyumba mpaka main road ni meter 500.
.
Kama umevutiwa na Nyumba hii wasiliana na Bwana JENGA tuna zungumza na Mmiliki yaani Mwenye Nyumba.
.
CONTACT.
.
.
☎️Call 0718 211501.
📲WhatsApp 0620 325185.
📧 Email jengarealestate@gmail.com.
.
.
JENGA REAL ESTATE,live a Happy life.

PASHA REAL ESTATE
pasharealestate_tz
PASHA REAL ESTATE

Similar items by location

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

#ZIMEBAKI_2_TUAPARTMENT MPYAAA KABISA MADALE CENTER NJIA YA MBOPO INAYOWEKWA LAMI DK 3 TOKA NJIA HIY...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 90,000,000

iNAUZWA MADALE WAZO####Bei milioni 90,000,000/= milioni0759128747 0624436503VYUMBA V3 KULALA K1 MAST...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT MPYAAA KABISA MADALE CENTER NJIA YA MBOPO INAYOWEKWA LAMI DK 3 TOKA NJIA HIYO__Vyumba 2 vy...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

#VYUMBA_VIWILI_VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MADALE CENTER NJIA YA...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,000,000

#VYUMBA_VITATU_VYA_KULALA_VYUMBA VYOTE MASTAINAPANGISHWA #APARTMENT_MBILI KWENYE FENSIIKO-DAR-ES-SAL...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT MPYAAA KABISA MADALE CENTER NJIA YA MBOPO INAYOWEKWA LAMI DK 3 TOKA NJIA HIYO__Vyumba 2 vy...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

#VYUMBA_VIWILI_VYA_KULALAINAPANGISHWA #APARTMENTMAHALIMADALE MIKOROSHINI NYUMBA LAMIKODI TSHS LAKI ...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

ENEO LA BARABARANI LINAUZWAMADALE UKUBWA 600SQM ENEO NI ZURI ,LINAFAA KWA UWEKEZAJIFREM,CARWASH,OFF...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

🇹🇿🏡 NYUMBA INAUZWA - MADALE 🏡🇹🇿📍 Location: Madale — Mita 300 kutoka lami📐 Plot Size: 7200 sq...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 68,000,000

PLOT NZURI MNO FOR SALE Size sqm 850.Bei ml 68. Maongezi kidogo Madale msumi mwanzoni Number

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MADALE KWA KAWAWA (...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 330,000,000

Apartment mpya nzur sana zinauzwa:Zipo 3 ni 2bedroom kila mojaEneo-sqm 735Umiliki- Hati miliki Bei-m...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 330,000,000

Apartment mpya nzur sana zinauzwa:Zipo 3 ni 2bedroom kila mojaEneo-sqm 735Umiliki- Hati miliki Bei-m...

Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 541,000,000

PLOT FOR SALE MADALE MIVUMONI Viwanja Vimepimwa unaweza lipa kwa awamu What's up kwa ajili ya mchoro...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 440,000,000

✨ APARTMENTS ZINAUZWA – MADALE ✨🏢📍 Karibu na barabara ya lamiApartments nzuri zinauzwa zikiwa Mada...

Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 48,000,000

VIWANJA! VIWANJA! VIWANJA!KIWANJA KINAUZWA;MAHALI; MADALE UZUNGUNI.....UKUBWA; SQM 630.....BEI; MILI...

Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

...A VERY BEUTFUL & MOST PRIME PLOT FOR SALE//0752947801INAUZWA BEI YA MAOKOTO🥳🥳🥳 ✍️HII NI BABALA...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Madale, Dar Es Salaam

Sh. 135,000,000

Nyumba inauzwa Ipo Madale 4bedrooms Sqm 400Bei tsh mil 135Kutoka lami nyumba ya tatu Contact call 07...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

#VYUMBA_VIWILI_VYA_KULALAINAPANGISHWA #APARTMENTMAHALIMADALE MIKOROSHINI NYUMBA LAMIKODI TSHS LAKI ...

Viwanja vinauzwa Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 85,000

VIWANJA VIZURI SANA VINAUZWA BINAFSI Mtaa mzuri sana wa kibabe Vipo viwanja 13 vya kuwahi havikaiUk...