Plot for sale at Mawasiliano, Morogoro


HOUSE FOR SALE ###70Milioni
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••
NYUMBA YA FAMILIA PARTSION 2 ZINAUZWA.
--------------------------------------
IPO KIMARA TEMBONI  UMBALI WA KM  1 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI WA BAJAJI,  PIKIPIKI  UPO NAULI NI TSH 5OO UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK  2.
SIFA ZAKE =
 INA VYUMBA  2 NDANI VYA KULALA 
 SEBULE, 
PUBLIC TOILET  NDANI 
JIKO
FLOOR NYEKUNDU 
GYPSUM 
MADIRISHA NYAVU 
UMEME LUKU INAJITEGEMEA 
MAJI DAWASA YAPO NJE 
•••••••••••••••••••••••••••••••••••
INAUZWA =
MILIONI  70
MAZUNGUMZO YAPO KIDOGO
UKUBWA WA SQM 600
YANI 30X20
INA HATI YA MAUZIANO
Warning ⚠️ 
Ina wapangaji wawili
Na kila mpangaji analipa kodi ya bango 200,000 kwa mwezi
NOTE=
NDUGU MTEJA, TAJIRI ,HII NYUMBA  SIO YA KUACHA INAFAA KWA KUISHI KWA MTU MWENYE FAMILIA KUBWA AU KWA KUFANYA BIASHARA ,
KWENDA KUONA SITE NI ELFU  30 HII ITADUMU MPAKA UPATE NYUMBA UITAKAYO 
••••••••••••••••
KWA MAWASILIANO PIGA 
NO === 0766825473
WHATSAP == 0788410350




















