House for rent at Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA MASTER
#KIBALAZA CHA KUPIKIA
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA WAVU YENYE HEWA SAFI
#LUKU SUBMITER
#MAJI DAWASA YAPO
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM 1.5 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI (500) UKISHUKA TU DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
0715949085
0782838336