House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI KALI SANA
INAPANGISHWA
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1, TUU
USAFILI BAJAJI 700
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE GETI
====
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTER SEBULE JIKO NA CHOO CHA PABLIC NDANI KWA AJILI YA WAGENI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
===
KODI 200,000/=X6
KUONA NYUMBA. 15000/
DALALI. 200,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0710614924
#0688653940