House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MPYA KABISA KIMARA KOROGWE KM2 KUTOKA LAMI.
------
Chumba master
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5
----------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#Dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏