House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(200,000 ร 4,5,6) KIMARA TEMBONI
APARTMENT NZURI SANA ๐ฅ MPYA KABISA
CHUMBA MASTER SEBURE NA JIKO
NDANI YA FENSI INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
๐ฅ KODI YAKE 200,000 ร 4
๐๏ธ ILIPWE LAKI MBILI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA
SIFA ZAKE NI:_
โก CHUMBA MASTER
โก SEBULE SAFI
โก JIKO SAFI
โก MAJI DAWASA METER YAKE
โก MAJI YANAFLOW NDANI
โก UMEME UNAJITEGEMEA
โก PARKING KUBWA
๐ก APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM 2
BAJAJI TSH700/=
BODA TSH1000/=
+----
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300