House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO NI MAKUBWA SANA 
KODI 100,000X6 
IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI 
BAJAJI 1000
UMBALI KM 3
UMEME LUKU WAWILI 
MAJI WAWILI
NYUMBA NI MPYA MPYA KABISA 
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















