House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA DK 10 
KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1 UKIPENDA 
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA 
SIFA YA NYUMBA 
__________________
hii nyumba NI chumba  master bedroom,sebule na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana 
๐ฐKODI YA PANGO 
________________
kwa mwezi ni laki mbili nanusu tuu/= (250,000)
  X 6 
 Kwa maelezo zaidi Piga simu uhudumiwe kwa halaka 
CALL 0625606710
CALL 0783794666



















