House for Rent at Msingi, Singida

 media -1
media -1
Sh. 100,000,000

NYUMBA INAUZWA AREA C -MTAA MZURI KABISA NA TULIVU.
________________________________
TAZAMA MBAKA MWISHO KUONA.

(Vyumba 04-masta moja,seble,jiko,dining,public toilet!.

KIWANJA-800sqm

DOCUMENT-HATI

BEI-ASK?

CHUKUA ELIMU HAPA (MUHIMU)
________________________________
1.MOJA KATI YA VIGEZO VYA MSINGI UNAPOANGALIA THAMANI YA NYUMBA NI MAHALI ILIPOJENGWA
________________________________

2.KATIKA MWAVULI WA REAL ESTATE UKITAKA KUWA REAL ESTATE INVESTOR MZURI LAZIMA UZINGATIE LOCATION PROPERTIES ZAKO ZILIPO.HIYO NI MOJA KATI YA SABABU ZA MSINGI SANA KIBIASHARA SABABU INASAIDIA KWENYE KUJUA THAMANI,KUPANGA BEI LAKINI PIA KUWEZA KUJUA RETURN YAKO (umewekeza lakini inaweza kukuchukua muda gani kupata ile pesa na faida kuanza kuiona?)
________________________________

3.KWA MKOA WA DODOMA MAENEO YENYE SOKO ZURI KIBIASHARA IWE KUPANGA,KUUZA NYUMBA BASI KWA HARAKA ZAIDI MAENEO YA AREA C,AREA D,UZUNGUNI,AREA A,AREA E(emmaus) Yanasoko zaidi
Naweza kukwambia nyumba nzuri ya kupanga Area C,Area D,Uzunguni,Emmaus(Area E) inaweza kuwa na bei kubwa kuliko nyumba zilizo maeneo ya kisasa,Ilazo,meriwa,makulu ama chidachi (Pita kwenye page hii hii kwaajili ya Research)
________________________________
04.NIWAIBIE SIRI REAL ESTATE INVESTORS Badala ya kujenga nyumba yako ya kupanga ilazo,kisasa,n.k ambako kuanzia kiwanja mpaka nyumba vitakugharimu zaidi ya 100M ni mara kumi bora zaidi kununua Nyumba za bei nafuu(Wengi huziita za kizamani) maeneo karibu na mjini ambazo ukazi-Renovate zikakaa katika ubora mzuri na ukapangisha kwa bei nzuri zaidi ya hata uko ulikotaka kujenga sababu soko la mjini ni kubwa na linalipa zaidi.Na hata kwenye kuuza unaeza uza bei nzuri zaidi lakini pia kupata mteja kwa haraka ukilinganisha na maeneo mengine
________________________________
05.WATU WENGI WANAKUWA NA HELA LAKINI WANAKOSA MTU SAHIHI WA KUMSHAURI,UKIHITAJI CONSULTATION KWENYE MASUALA YA REAL ESTATE NIPIGIE.
NI MUHIMU KUWA NA TAARIFA SAHIHI KUTOKA KWA MTU SAHIHI KABLA YA KUFANYA JAMBO
"IF YOU WANT TO KNOW SOMETHING CONSULT AN EXPERT" SABABU SISI WASWAHILI HUWA TUNA MAJIBU YA KILA SWALI ILA HATUNA TAALUMA YA KILA KITU.
________________________________

Extraordinary_dodoma
dalali_extraordinary_dodoma
Extraordinary_dodoma

Similar items by location

Plots for sale at Msingi, Singida
  • Project

Sh. 2,000,000

๐ŸŸฉ ANZA MWAKA MPYA KWA KIWANJA CHAKO!KIWANJA BEI POA โ€“ MALIPO YA AWAMUforodhani_smart_citytzMwaka mp...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Msingi, Singida

Sh. 400,000

APARTMENTS FOR RENT #2 ON COMPOUND #Location.Mongolandege Shule ya Msingi #Zero Distance To Main Roa...

Plots for sale at Msingi, Singida
  • Project

Sh. 2,000,000

๐ŸŸฉ ANZA MWAKA MPYA KWA KIWANJA CHAKO!KIWANJA BEI POA โ€“ MALIPO YA AWAMUforodhani_smart_citytzMwaka mp...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 50,000,000

KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA_______MAHALI-KISASA_______UKUBWA WA KIWANJA-640SQM_______DOCUMENT-HATI_...

4 Bedrooms House for sale at Msingi, Singida

Sh. 11,000,000

*๐Ÿก KIWANJA KINAUZWA โ€“ KINA NYUMBA NDANI* โœ… Kina nyumba ya vyumba 4 na sebule โœ… Umeme upo tayari โœ… M...

4 Bedrooms House for sale at Msingi, Singida

Sh. 11,000,000

*๐Ÿก KIWANJA KINAUZWA โ€“ KINA NYUMBA NDANI* โœ… Kina nyumba ya vyumba 4 na sebule โœ… Umeme upo tayari โœ… M...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 25,000,000

KIWANJA KIZURI MITA 100 TOKA LAMI_______MAHALI-CHIDACHI YA MWANZO_______UKUBWA WA KIWANJA-547SQM____...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 24,000,000

KIWANJA KIZURI MITA 100 TOKA LAMI_______MAHALI-CHIDACHI YA MWANZO_______UKUBWA WA KIWANJA-547SQM____...

House for Rent at Msingi, Singida

Sh. 2,000,000

KIWANJA BEI POA โ€“ MALIPO YA AWAMU! forodhani_smart_citytzKijana, mwaka unakaribia kumalizika. Je, ba...

3 Bedrooms House for sale at Msingi, Singida

Sh. 39,000,000

KIWANJA KIZURI CHENYE MSINGI KINAUZWA BINAFSIBEI MIL 39KIPO MADALE MSIGANI KWA MANGITA Kiwanja Kina...

3 Bedrooms House for sale at Msingi, Singida

Sh. 10,000,000

โ€”โ€”MSINGI WA NYUMBA KINYEREZI KIBAGA BBEI MILIONI 10VYUMBA 3 VYA KULALA MASTER 1SEBULE DAINING JIKO U...

House for sale at Msingi, Singida

Sh. 90,000,000

PLOT FOR SALE / KIWANJA KIZURI KINAUZWA#SPECIFICATION*Plot Size Square mita 1800SQM, Which is 60*30...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 29,000,000

KIMESHUKA BEI SASA MABOSS KIWANJA KINAUZWA ๐Ÿ“Mahali - *CHIDACHI EXTENSION* Jirani na SGR*Sqm 744* K...

House for Rent at Msingi, Singida

Sh. 2,000,000

๐ŸŸฉ KIWANJA BEI POA โ€“ MALIPO YA AWAMU! forodhani_smart_citytzKijana, mwaka unakaribia kumalizika. Je,...

House for Rent at Msingi, Singida

Sh. 2,000,000

๐ŸŸฉ KIWANJA BEI POA โ€“ MALIPO YA AWAMU! forodhani_smart_citytzKijana, mwaka unakaribia kumalizika. Je,...

House for sale at Msingi, Singida

Sh. 450,000

๐Ÿ—ฃ๏ธNYUMBA INA UZWA ๐Ÿ‘‰INA CHUMBA KIMMOJA SELF ๐Ÿ‘‰INA SEBULE &JIKO๐Ÿ‘‰IMEZUGU SHIWA MSINGI WA FENSI๐Ÿ‘‰ENEO...

House for Rent at Msingi, Singida

Sh. 2,000,000

๐ŸŸฉ KIWANJA BEI POA โ€“ MALIPO YA AWAMU! forodhani_smart_citytzKijana, mwaka unakaribia kumalizika. Je,...

House for Rent at Msingi, Singida

Sh. 2,000,000

๐ŸŸฉ KIWANJA BEI POA โ€“ MALIPO YA AWAMU! forodhani_smart_citytzKijana, mwaka unakaribia kumalizika. Je,...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 7,200,000

Leo ni fursa yako ya kuweka msingi wa maisha bora kwa familia yako au biashara yako ya baadaye.๐—ž๐—œ๏ฟฝ...

Plot for sale at Msingi, Singida

Sh. 7,200,000

Leo ni fursa yako ya kuweka msingi wa maisha bora kwa familia yako au biashara yako ya baadaye.๐—ž๐—œ๏ฟฝ...