Nyumba inapangishwa Msingi, Singida

 media -1
media -1
Sh. 100,000,000

NYUMBA INAUZWA AREA C -MTAA MZURI KABISA NA TULIVU.
________________________________
TAZAMA MBAKA MWISHO KUONA.

(Vyumba 04-masta moja,seble,jiko,dining,public toilet!.

KIWANJA-800sqm

DOCUMENT-HATI

BEI-ASK?

CHUKUA ELIMU HAPA (MUHIMU)
________________________________
1.MOJA KATI YA VIGEZO VYA MSINGI UNAPOANGALIA THAMANI YA NYUMBA NI MAHALI ILIPOJENGWA
________________________________

2.KATIKA MWAVULI WA REAL ESTATE UKITAKA KUWA REAL ESTATE INVESTOR MZURI LAZIMA UZINGATIE LOCATION PROPERTIES ZAKO ZILIPO.HIYO NI MOJA KATI YA SABABU ZA MSINGI SANA KIBIASHARA SABABU INASAIDIA KWENYE KUJUA THAMANI,KUPANGA BEI LAKINI PIA KUWEZA KUJUA RETURN YAKO (umewekeza lakini inaweza kukuchukua muda gani kupata ile pesa na faida kuanza kuiona?)
________________________________

3.KWA MKOA WA DODOMA MAENEO YENYE SOKO ZURI KIBIASHARA IWE KUPANGA,KUUZA NYUMBA BASI KWA HARAKA ZAIDI MAENEO YA AREA C,AREA D,UZUNGUNI,AREA A,AREA E(emmaus) Yanasoko zaidi
Naweza kukwambia nyumba nzuri ya kupanga Area C,Area D,Uzunguni,Emmaus(Area E) inaweza kuwa na bei kubwa kuliko nyumba zilizo maeneo ya kisasa,Ilazo,meriwa,makulu ama chidachi (Pita kwenye page hii hii kwaajili ya Research)
________________________________
04.NIWAIBIE SIRI REAL ESTATE INVESTORS Badala ya kujenga nyumba yako ya kupanga ilazo,kisasa,n.k ambako kuanzia kiwanja mpaka nyumba vitakugharimu zaidi ya 100M ni mara kumi bora zaidi kununua Nyumba za bei nafuu(Wengi huziita za kizamani) maeneo karibu na mjini ambazo ukazi-Renovate zikakaa katika ubora mzuri na ukapangisha kwa bei nzuri zaidi ya hata uko ulikotaka kujenga sababu soko la mjini ni kubwa na linalipa zaidi.Na hata kwenye kuuza unaeza uza bei nzuri zaidi lakini pia kupata mteja kwa haraka ukilinganisha na maeneo mengine
________________________________
05.WATU WENGI WANAKUWA NA HELA LAKINI WANAKOSA MTU SAHIHI WA KUMSHAURI,UKIHITAJI CONSULTATION KWENYE MASUALA YA REAL ESTATE NIPIGIE.
NI MUHIMU KUWA NA TAARIFA SAHIHI KUTOKA KWA MTU SAHIHI KABLA YA KUFANYA JAMBO
"IF YOU WANT TO KNOW SOMETHING CONSULT AN EXPERT" SABABU SISI WASWAHILI HUWA TUNA MAJIBU YA KILA SWALI ILA HATUNA TAALUMA YA KILA KITU.
________________________________

Extraordinary_dodoma
dalali_extraordinary_dodoma
Extraordinary_dodoma

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 23,000,000

KIWANJA KINAUZWA KINA FENSI PANDE MBILI KINAUZWA CHIDACHI ST. MARYS JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 537 ...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 45,000,000

KIWANJA CHENYE MSINGI WA GHOROFA KINAUZWA KIFURU KING'ANZIUKUBWA WA KIWANJA SQM 1200BEI MILLION 45MA...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 45,000,000

KIWANJA CHENYE MSINGI WA GHOROFA KINAUZWA KIFURU KING'ANZIUKUBWA WA KIWANJA SQM 1200BEI MILLION 45MA...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 100,000,000

...#KIMESHUKA BEI MPKA 100M KIWANJA KINAUZWA #MBEZI_MWISHO NYUMBA YA MAGUFURI BUS STANDUkubwa-sqm 1...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 8,000,000

PLOT FOR SALE KIWANJA KIZURI KINAUZWA #SPECIFICATIONS *Plot Size Square mita 500SQM, Which is 20* ...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 40,000,000

KIJUMBA KIZURI NA MSINGI WA VYUMBA VITANO (5) VINAUZWA MBEZI (MALAMBA MWISHO)✍️BEI MILION 40 (MAONGE...

Sh. 130,000,000

...KIWANJA KINAUZWA #MBEZI_MWISHO NYUMBA YA MAGUFURI BUS STANDUkubwa-sqm 1245Umbali KM 1 KWAGARI PI...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 130,000,000

KIWANJA KINAUZWA #MBEZI_MWISHO NYUMBA YA MAGUFURI BUS STANDUkubwa-sqm 1245Umbali KM 1 KWAGARI PIKIP...

Frame inauzwa Msingi, Singida

Sh. 25,000,000

👉🏛️ZINAUZWA FREM ZA BIASHALA ZIPO TATU NA CHUMBA KIMOJA NA MSINGI WA VYUMBA VITATU NA SEBLE NA JIK...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 70,000,000

PLOT FOR SALE/KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA ........................#SPECIFICATIONS *Plot Size Square...

Nyumba inauzwa Msingi, Singida

Sh. 28,000,000

PLOT FOR SALE KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA ................................#SPECIFICATIONS *Plot Siz...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Msingi, Singida

Sh. 70,000,000

PLOT FOR SALE KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA ................................#SPECIFICATIONS *Plot Siz...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 195,430,000

COMMERCIAL HOUSE DESIGN 🏠🏠🏠Requirements / Specifications Consists Two (2) units / Families each c...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Msingi, Singida

Sh. 6,500,000

KIWANJA CHENYE MSINGI WA NYUMBA KINAUZWA KIPO MABWEPANDE MWENDOKASI MDUNDO.LOC : MABWEPANDEAREA :SQM...

Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida

Sh. 130,000,000

...KIWANJA KINAUZWA #MBEZI_MWISHO NYUMBA YA MAGUFURI BUS STANDUkubwa-sqm 1245Umbali KM 1 KWAGARI PI...