House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam



*📍 *KAMA UNAHITAJI KUISHI NYUMBA MPYA NA KALI NDIO HII SASA WAHI NJOO WEKA BOOKING HAPA*
📍 *VIMEBAKI VYUMBA VYA GHOROFA YA JUU TYU ANAMALIZIA*
📍HAPA KUNA👉👉👉👉👉👉👉MASTERBEDROOM NA JIKO PRICE 180K MIEZI 6
👉MASTERBEDROOM TU KUBWA PRICE 170K MIEZI 6
👉MASTERBEDROOM NDOGO SAIZI YA KATI KWA MSELA INAFAA PRICE 150K
👉MASTERBEDROOM NDOGO KABISA KULIKO ZOTE 140K HADI 130K
📌 *NYUMBA IPO UBUNGO RIVERSIDE
📌IKO NDANI YA GETI ILA HAMNA PARKING
📍KARIBUNI SANA HELA TUNAPOKEA..........
**