1 Bedrooms House for Rent at Bunju, Dar Es Salaam


๐
19/08/2025
๐ CHUMBA MASTER + SEBULE + JIKO NDANI YA FENSI ZIPO 2 ๐
๐ Mahali: Bunju โ Dakika 1 kutoka Main Road
โธป
๐ Muundo wa Nyumba:
โข ๐๏ธ Chumba kimoja cha kulala (Master)
โข ๐๏ธ Sebule kubwa yenye nafasi
โข ๐ณ Jiko
โข โก Umeme: Unajitegemea
โข ๐ฟ Maji: Mnashare wawili
โธป
๐ฐ Kodi: Tsh 250,000/= kwa mwezi
๐ Malipo ya mwanzo: Miezi 6
๐ NOTE: Njoo ulipie chap, ndani ya siku 5 kuanzia leo itakuwa imekamilika.
โธป
๐ Wasiliana Nami Leo:
โข ๐ฒ 0687 800 788
โข ๐ฒ 0713 958 395