1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISWA KODI 150,000X5,6 YOTE INAPOKELEWA
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 UNAWEZA PITIA KIMARA KOROGWE MWENDO KASI PIA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWAA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#PAKING SPACE KUBWA
NB: NYUMBA INAPIGWA RANGI YOTE UNAINGIA WAI NDUGU MTEJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347