4 Bedrooms House for Rent at Kati, Arusha


NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 800,000/= X 6
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA KATI YA HIVYO CHUMBA 1 NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA YENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET CHOO NA BAFU
#CAR PARKING
#INA A/C NDANI
#GARDEN
#PIA NYUMBA INA ITA YA MAJI
# PIA KUNA SEHEMU YAKUSOMEA
BEI NI 800,000/= X 6
🇹🇿 NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
🎤NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
0679447338
0753454167