4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILIA INA PANGISHWA
KODI 600,000X6
LOCATION: MBEZI KWA ROBART
INA VYUMBA VINNE VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
PUBLIC TOILET
BAFU LAKE
JIKONI KUNA WEKWA MAKABATI
STORE KUBWA
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA PEVING ZITAWEKWA
UMBALI TOKA GOBA ROAD NI DAKIKA 6-7 KWA MGUU
MAJI YANA TILILIKA NDANI NA KUNA RESERVE TANK HAPO
NDUGU MTEJA NYUMBA HII NI MPYA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI 20,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
====
CONT
0683234124
0718367179