4 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA YAKUHAMIA VYUMBA 4, TSHS.68 MILIONI. KIVULE.
Kiwanja SQM.360.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 4 (masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
___________mskv