5 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA SANA YA FAMILIA INA PANGISHWA STAND ALONE
KODI 400,000X6
LOCATION: KIMARA MWISHO 
PIA UNAWEZA KUPITIA STOP OVER
UMBAL KM 2
USAFIRI BAJAJI 1000 
BODA 1000
INA VYUMBA VITANO VYA KULALA 
KIMOJA  MASTER
SEBULE KUBWA DINNING 
JIKO KUBWA 
NA STORE 
PABLIC NA BAFU LAKE 
UMEME NA MAJI VINAJITEGEMEA
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA 
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
NDUGU MTEJA PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA :: 0672 673363 
NDUGU MTEJA NYUMBA ITARUDIWA RANGI



















