3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT 2 ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER KM1.5 KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 3 vya kulala 2 master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Air condition chumbani
Maji yana flow
Ndani ya fence
Kila nyumba ina geti lake
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 20,000/=
Kodi 600,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6
----------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach 🇹🇿