3 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam


NYUMBA VYUMBA 3,TSHS 35 MILIONI,
KIVULE.
Hapa ni KIVULE FREMKUMI. 
Nyumba nzuri inayojitegemea. 
Vyumba 3(Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room, 
Store na Choo cha Familia ndani. 
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 280.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. 
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000. 
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. 
+255 714 591 548
____________mskv




















