3 Bedrooms House for sale at Temeke, Dar Es Salaam


KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 
HII SI YA KUIKOSA KABISA BOSS WANGU NJOO NKUZIE IYO NYUMBA BOSS NZURI SANA TSH MIL 36 TU
IPO MBANDE MIPEKU JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE 
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET 🚻 
NYUMBA INA BONGE LA ENEO KUBWA SQUARE ⬛️ 600 
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0759 203175 0652 618 143


















