2 Bedrooms House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


Stand Alone Inapangishwa:
Location :: Goba mageti
Bei yake :: 400,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko linafungwa makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Umeme wa tanesco na sollar
🌡️Maji dawasco na kisima cha mvua
Kuna migomba utakula ndizi maembe na michungwa ukitaka kufuga kuku eneo lipo mazungumzo
Call/Whatsapp;
0689193185
0743456099