2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI 
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1
USAFIRI NI  BAJAJI 700/
UKISHUKA TU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE GETI 
====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI  SEBULE KUBWA SANA 
 DINNING  CHOO NI PUBLIC HAKUNA MASTER 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA 
PAKING SPACE KUBWA SANA 
====
KODI 250,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 250,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
O679447338 
O753454167




















