2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAA KABISA INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA KOROGWE
UMBALI KM 1
BAJAJI 500
BODA 1000
VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
KODI 380,000X6
UTAKUWA TIYALI KUINGIA TAREHE 5/12/2025
ILA KUONA NA KULIPIA LUKSA
IPO NDANI YA FENSI BADO KUWEKWA GET TU
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
BARABARA NI ZEGE HADI KWENYE NYUMBA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI 20,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751
WSP 0786085637



















