2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE USAFIRI BAJAJI
IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE, JIKO NA PUBLIC TOILET
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANA FLOW NDANI
INA FULL AIR CONDITION MAJI MOTO MAJI BARIDI
KODI 600,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
KUONA NYUMBA ELFU 20,000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIPENDA NYUMBA UTALIPA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
KWA MAWASILIANO PIGA SIMU NAMBA