2 Bedrooms House for Rent at Makongo, Dar Es Salaam


🏡 Nyumba ya Kisasa Inapangishwa – Makongo Juu 🌳
📍 Ipo kilomita 1 tu kutoka barabara ya lami
🛏️ Vyumba viwili (kimoja ni Master)
🛋️ Sebule kubwa yenye mwanga mzuri
🍳 Jiko safi la kisasa
🚿 Choo cha public
💰 Kodi: 800,000/= kwa mwezi (malipo kuanzia miezi minne)
📞 Wasiliana na Mshua: 0678512666
✨ Makongo Juu – utulivu, usalama na ubora kwenye nyumba moja!