House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 03/08/2025 KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO ZURI LENYE KABATI
#MAFENI KOTE
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA SAFI KABISA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 300,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.