House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENTS NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI YAKE 350K X6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#AIRCONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBANI
#PAVING BLOCK
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
‼️ZIPO APARTMENT 3 TUU NA HII MOJA YA CHINI NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 350,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM1 TUU..
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT ME:: 0672 673363 / 0763 219307