House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 160,000/= X 6 
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA 
#SEBULE KUBWA SANA 
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24 
#LUKU WANASHEA FAMILIA 2 TUU 
#IPO NDANI YA FENSI LAKINI UWEZI KULAZA GARI NDANI
BEI NI 160,000/= X 6
________________________________________________________
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
________________________________________________________
 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
________________________________________________________




















