House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZUR MNOOOOO 
=================
INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE 
=================
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI KUANZIA MIEZI SITA
================
YA JUU NDO IPO WAZI WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU 
=================
SIFA ZAKE 
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
==================
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN 
===================
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO PARKING IPO 
===================
UMBALI KM 1,3 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE USAFIRI IPO WA UAKIKA BAJAJI 500 TU UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO 
====================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA 
==================
CONTACT #0625606710



















