House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA YA CHINI IPO WAZI
#MASTER BERD ROOM KUBWA YENYE JIKO ZURI LA KISASA
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI NA JIKO LAKE
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO KWENYE FENSI YA FENSI YA MICHONGOMA USALAMA WA KUTOSHA PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#0710614924
#0688653940