House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro






#APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA SUKA 120K X 3
ITAKUWA WAZI TAR 25/5/2025
SIFA ZAKE
CHUMBA MASTER KUBWA
Nzuri sana MAJI YANAFLOOR NDANI
BEI NI 120,000/=× 3,4,5,6
NYUMBA IPO UMBALI WA KM 1.2 KUTOKA MOROGORO ROAD
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI HAILAZI GARI
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
ZINGATIA TAADHALI ELFU 50,000
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347