1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA BARUTI DK2 KUTOKA LAMI ZINA KUWA TAYARI TAR.1.8.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
A
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
BEI NI 250,000/=X6
B
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
BEI NI 350,000/=X6
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA TU
SEHEMU MAALUM YA PARKING
CONTACT
#0676_218580(WHATSAPP)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐