1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







:
CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA #200k
#ππ€πππ©ππ€π£: UBUNGO EXTERNAL
#Umbali wa Kilomita 1 kutoka Stand Main Road, Usafiri Boda 1000
#ππππ_πππ π
============
β’ Chumba Kimoja Kikubwa Cha Kulala Master Bedroom
β’ Choo Kizuri cha Wageni
Apartment zipo 3 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#ππ€ππ_π π¬π_ππ¬ππ―π π£π Tsh. 200,000/- Malipo Miezi 6
#πΌπ£πππ‘ππ―π€
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali
#πΏππ‘ππ‘π_πππͺπ£ππ€
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp