1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
Usafiri Ni Bajaji Na Boda Ukishuka Unapiga Geti Teke
Kodi 300,000 × 6
✔️Sebule Kubwa Sana
✔️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✔️Jiko Kubwa ZURI
✔️Luku Yako
✔️Maji Dawasa ndani mita yake
✔️Parking Space Kubwa 🚘
✔️Paving Blocks 🚫
✔️Tires,Gypsum Na Slide Windows
✔️Good environment
📌Caution Money 1 Month 🤝
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp