4 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam






APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD. 
USAFIRI WA BAJAJI / DALADALA UPO NAULI TSH  700 UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 3 HADI KWENYE NYUMBA. 
Vyumba  4 vya kulala kimoja master 
Sebule kubwa 
Dining room 
Stoo ndani
Jiko lenye makabati 
Public toilet Bafu & choo
Rezev Simtank 
Tails ###gypsum 
Madirisha Aluminium 
Umeme Luku inajitegemea 
Maji Dawasa yanaflow 
Full paving block 
Ndani ya fensi parking space kubwa. 
------------
Kodi ni laki  500,000 /=
Kwa mwezi 
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba 
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
----------------
CONTACT ME: 0672 673363




















